Samuel Sitta

Tanzanian politician.
Died on Monday November 7th 2016


View other recent people: Pandit Jasraj, Awesome Again, James Lovelock

Tweets related to Samuel Sitta:

@malundekadama: LOWASSA AELEZA SABABU ZA KUTOHUDHURIA MSIBA WA SAMUEL SITTA NA MUNGAI - 8 years ago

@IshiKistaa: Sababu alizotoa Lowassa baada ya kutohudhuria msiba wa Samuel Sitta na Joseph Mungai - 8 years ago

@itz_na_age: RT @watsupafrica: #Tanzania: Zitto Kabwe aliposimama kuuaga mwili wa Samuel Sitta - 8 years ago

@EzekiaMsyani: RT @eastafricatv: Mbunge @TunduLissu anatoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya wabunge wa CHADEMA, na kumzungumzia marehemu Mh. Samuel Sitt… - 8 years ago

render('/ads/person3')?>

@EzekiaMsyani: RT @eastafricatv: Tundu Lissu: Samuel Sitta alitaka Bunge lenye meno, alitaka Bunge linaloisimamia na kuidhibiti serikali, . #RIPSitta - 8 years ago

@AbduTz: RT @TanzaniaHistory: BUNGE LENYE MENO Na Samuel Sitta, Willibrod Slaa na John Cheyo. - 8 years ago

@AbduTz: RT @TanzaniaHistory: Samuel Sitta (kulia) enzi za ujana wake akifurahia jambo na Mwalimu Julius Nyerere. #TanzaniaHistory - 8 years ago

@julikanwa: RT @MwananchiNews: Wakazi wa Urambo mkoani Tabora wasimamisha shughuli zao, maduka yafungwa, wajitokeza kwa wingi kumuaga Spika Mstaafu Mar… - 8 years ago

@DachiRashid2: RT @Hakingowi: Senior political and government leaders fly back to Dar after the burial of former speaker Samuel Sitta - 8 years ago

@vj1dido: RT @ProfessorJayTz: Leo ni siku ngumu sana... Tuendelee kuwaombea Mh. HAFIDH ALLY TAHIR Mbunge wa DIMANI na Mh. SAMUEL SITTA Wapumzike kwa… - 8 years ago

@tzDiscovery: RT @Hakingowi: Senior political and government leaders fly back to Dar after the burial of former speaker Samuel Sitta - 8 years ago

@msisiri: RT @Hakingowi: Senior political and government leaders fly back to Dar after the burial of former speaker Samuel Sitta - 8 years ago

@BonSipele: Cancer is real folks. Samuel Sitta and now Gwen Ifill are all gone. Both affluent and rich. Stay vigilant. - 8 years ago

@0a20d9d3af33459: RT @TheCitizenTZ: LEADERS : Senior political and government leaders fly back to Dar after the burial of Samuel Sitta Premier... - 8 years ago

@mrindokojr: RT @ccm_tanzania: Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndg Nape Nnauye awasilisha salamu za CCM katika mazishi ya Mzee Sam… - 8 years ago

@Livss3: RT @Hakingowi: 1/2:Bibi Kagoli Fundikira ambaye ni Mama Mzazi wa marehemu Spika Mstaafu Samuel Sitta akitupa udongo kwenye kaburi la mwanan… - 8 years ago

@Livss3: RT @Hakingowi: Senior political and government leaders fly back to Dar after the burial of former speaker Samuel Sitta - 8 years ago

@mario_cretus: RT @Hakingowi: Senior political and government leaders fly back to Dar after the burial of former speaker Samuel Sitta - 8 years ago

@allanmzalendo: RT @Hakingowi: Senior political and government leaders fly back to Dar after the burial of former speaker Samuel Sitta - 8 years ago

@DavyNguma: @RweyemamuF Nimesikia Samuel Sitta kwamba aliacha wosia kwamba Jk akae na jp karibu maana baadhi ya mambo yanaenda ndivyo sivyo @halimamdee - 8 years ago

@JoelMacha2: RT @eastafricatv: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli ataongoza waombolezaji katika kuaga mwili wa Mh. Samuel S… - 8 years ago

@evanalnkusi1: RT @Hakingowi: Senior political and government leaders fly back to Dar after the burial of former speaker Samuel Sitta - 8 years ago

@michaelnariel: RT @Hakingowi: Senior political and government leaders fly back to Dar after the burial of former speaker Samuel Sitta - 8 years ago

@iAlen: RT @iAlen: Rest in Peace two great Tanzanians, former Speaker Mzee Samuel Sitta and former Minister Mzee Joseph Mungai. Poleni sana wafiwa.… - 8 years ago

@komba_c: RT @Hakingowi: Senior political and government leaders fly back to Dar after the burial of former speaker Samuel Sitta - 8 years ago

@godfreypius: RT @MwananchiNews: Wakazi wa Urambo mkoani Tabora wasimamisha shughuli zao, maduka yafungwa, wajitokeza kwa wingi kumuaga Spika Mstaafu Mar… - 8 years ago

@davismazula_: RT @Hakingowi: Senior political and government leaders fly back to Dar after the burial of former speaker Samuel Sitta - 8 years ago

@Hakingowi: Senior political and government leaders fly back to Dar after the burial of former speaker Samuel Sitta - 8 years ago

@and071: RT @millardayo: #BREAKING Aliyekuwa Spika Mstaafu wa bunge, Samuel Sitta amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo huko Ujerumani akiwa katika… - 8 years ago

@JAMVILAHABARI: SPIKA NDUGAI ALISHIRIKI KUMZIKA SPIKA MSTAAFU SAMUEL SITTA URAMBO, TABORA - 8 years ago

@mgimba_deodath: RT @millardayo: #VIDEO: Dakika 7 za Naibu spika Dr. Tulia kuhusu historia ya Samuel Sitta>>> - 8 years ago

@ahmadsaalim4: RT @JNtuyabaliwe: Pumzika kwa amani Mh Samuel Sitta. - 8 years ago

@DigelAbdos: RT @MtanzaniaNews: Samuel Sitta azikwa kitaifa Urambo - 8 years ago

@Tz_Kwanza: RT @millardayo: #MWANANCHI Mbowe amewaasa watanzania kutumia msiba wa Spika mstaafu Samuel Sitta kuungana na kuondoa tofauti miongoni mwao… - 8 years ago

@LordHerry: RT @millardayo: #MWANANCHI Mbowe amewaasa watanzania kutumia msiba wa Spika mstaafu Samuel Sitta kuungana na kuondoa tofauti miongoni mwao… - 8 years ago

@nambunga1991: LEADERS : Senior political and government leaders fly back to Dar after the burial of Samuel Sitta Premier... - 8 years ago

@TheCitizenTZ: LEADERS : Senior political and government leaders fly back to Dar after the burial of Samuel Sitta Premier... - 8 years ago

@ErickJeremih: RT @millardayo: #MWANANCHI Mbowe amewaasa watanzania kutumia msiba wa Spika mstaafu Samuel Sitta kuungana na kuondoa tofauti miongoni mwao… - 8 years ago

@profarsenal1: Hayati Samuel John Sitta. - 8 years ago

@ivany_erick: #youtube Mazishi ya Samuel Sitta Urambo Tabora - 8 years ago

@MimurOmar: RT @millardayo: #MWANANCHI Mbowe amewaasa watanzania kutumia msiba wa Spika mstaafu Samuel Sitta kuungana na kuondoa tofauti miongoni mwao… - 8 years ago

@millardayo: #MWANANCHI Mbowe amewaasa watanzania kutumia msiba wa Spika mstaafu Samuel Sitta kuungana na kuondoa tofauti miongo… - 8 years ago

@michaelnariel: RT @Hakingowi: 1/2:Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji mjane wa marehemu Spika Mstaafu, Samuel Sitta baada ya kuwasili nyumbani https:/… - 8 years ago

@KimMhando: RT @Hakingowi: 1/2:Bibi Kagoli Fundikira ambaye ni Mama Mzazi wa marehemu Spika Mstaafu Samuel Sitta akitupa udongo kwenye kaburi la mwanan… - 8 years ago

@SalumJumbe4: RT @MtanzaniaNews: Samuel Sitta azikwa kitaifa Urambo - 8 years ago

@ShabaniRapwi: RT @Hakingowi: 1/2:Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sit… - 8 years ago

@Hakingowi: 1/2:Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu S… - 8 years ago

@Hakingowi: 1/2:Spika wa Bunge Job . Ndugai akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Sam… - 8 years ago

@Hakingowi: 1/2:Bibi Kagoli Fundikira ambaye ni Mama Mzazi wa marehemu Spika Mstaafu Samuel Sitta akitupa udongo kwenye kaburi… - 8 years ago

@Hakingowi: 1/2:Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakitoa heshima za mwisho kwa Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta - 8 years ago

@Hakingowi: Maaskofu na wachungaji wakiuombea mwili wa Spika Mstaafu, Marehemu Samuel Sitta kabla ya mazishi yaliyofanyia Uramb… - 8 years ago

@Hakingowi: 2/2:katika mazishi ya Spika Mstafu, Marehemu Samuel Sitta, Urambo mkoani Tabora Jana #RIPSitta - 8 years ago

@AdamJoh53441897: RT @millardayo: Mwili wa spika mstaafu Samuel Sitta ukiagwa Karimjee Hall leo Dar, uliwasili jana kutokea Ujerumani alikokua amekwenda kwa… - 8 years ago

@jimymassimo: RT @TanzaniaHistory: Samuel Sitta (kulia) enzi za ujana wake akifurahia jambo na Mwalimu Julius Nyerere. #TanzaniaHistory - 8 years ago

@Hakingowi: 1/2:Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji mjane wa marehemu Spika Mstaafu, Samuel Sitta baada ya kuwasili nyumbani - 8 years ago

@SundaySimba: Mazishi ya Spika Mstaafu Samuel Sitta Urambo Tabora - 8 years ago

@MbazyShangali: RT @millardayo: Muda mfupi baada ya Mazishi ya Spika Mstaafu Samuel Sitta mvua imeanza kunyesha, wenyeji wanasema hawakupata mvua kwa wiki… - 8 years ago

@modesteruswege: RT @Hakingowi: 1/2:Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo bada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu, Spika Mstaa… - 8 years ago

@3236963279d7464: RT @millardayo: #MillardAyoUPDATES Jeneza lililobeba mwili wa Spika mstaafu Samuel Sitta likiwekwa kaburini - 8 years ago

@IsaacAshufaa: #youtube Eneo ambalo utazikwa mwili wa Samuel Sitta - 8 years ago

@denic_omuga: RT @eastafricatv: Tundu Lissu: Kwa muda mrefu Bunge liliishi katika kivuli cha serikali, Samuel Sitta aliliondoa Bunge kutoka katika kivuli… - 8 years ago

@denic_omuga: RT @eastafricatv: Tundu Lissu: Samuel Sitta alitaka Bunge lenye meno, alitaka Bunge linaloisimamia na kuidhibiti serikali, . #RIPSitta - 8 years ago

@Hakingowi: 1/2:Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo bada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu, Sp… - 8 years ago

Back to homepage

People that died on the same date as Samuel Sitta

new server