Aboud Jumbe

Tanzanian politician
Died on Sunday August 14th 2016


View other recent people: Pandit Jasraj, Awesome Again, Soul Jah Love

Tweets related to Aboud Jumbe:

@decolanga: A Tribute to Maalim Aboud Jumbe Mwinyi: A life of Courage and Principle - 8 years ago

@Radio5tz: Shujaa wa Wiki. Marehemu Aboud Jumbe - Rais wa awamu ya pili ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar - 8 years ago

@fmradio5: Shujaa wa Wiki. Marehemu Aboud Jumbe - Rais wa awamu ya pili ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar - 8 years ago

@nambolarep: RT @MacOtani: Tanzania mourns the death of former President, Aboud Jumbe Mwinyi: - 8 years ago

render('/ads/person3')?>

@AllyAyubu7: RT @ccm_tanzania: "WanaCCM Nchi nzima tunamuomba M/Mungu aiweke peponi roho ya marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi - Salamu za rambirambi za C… - 8 years ago

@AllyAyubu7: RT @ccm_tanzania: Rais wa SMZ Mhe Dkt Ali Mohamed Shein atangaza siku saba za maombolezo ya kifo cha Mzee Aboud Jumbe Mwinyi na bendera kup… - 8 years ago

@jerekojr: natamani sana kusikia historia ya Aboud Jumbe kutoka kwa waTanzania Visiwani. nimejikuta nakumbuka shuka asubuhi. kujua historia za TZ. - 8 years ago

@waweru: @Semkae do you have any links to objective articles on the late Aboud Jumbe? @MariaSTsehai - 8 years ago

@selemani: RT @The_EastAfrican: TRIBUTE | Zanzibar mourns the advocate of three-tier system of government - 8 years ago

@DoradoAlex: RT @The_EastAfrican: TRIBUTE | Zanzibar mourns the advocate of three-tier system of government - 8 years ago

@The_EastAfrican: TRIBUTE | Zanzibar mourns the advocate of three-tier system of government - 8 years ago

@TEMCO_TZ: Zanzibar Ex-President Aboud Jumbe Mwinyi died - 8 years ago

@afrilocen: Zanzibar mourns the advocate of three-tier system of government - 8 years ago

@spkafefa: "Serikali 3: ya Zanzibar, ya Tanganyika na ya Shirikisho - Sheikh Aboud Jumbe." "Moja na moja haiwezekani kuwa tatu - Mwl. Nyerere" - 8 years ago

@VitusMetiod: RT @jmkikwete: Nimestushwa na kusikitishwa sana na taarifa za kifo cha Marehemu Mhe Aboud Jumbe Mwinyi. Naungana na Watanzania wote kuombol… - 8 years ago

@VitusMetiod: RT @jmkikwete: Historia ya Zanzibar,CCM na ile ya Muungano wetu haziwezi kukamilika bila kumtaja Marehemu Aboud Jumbe Mwinyi. Apumzike Maha… - 8 years ago

@Gwiji15: @TPHbookshop. Mna kitabu cha "Partnership " alichoandika Hayati Aboud Jumbe? - 8 years ago

@subinukta: Marehemu Rais Jumbe: Mahojiano ya Mei 2002; Jicho la Lissu; Taazia ya Moh'd Said na Makala 3 za Mihangwa - 8 years ago

@GodfreyChriss7: RT @ccm_tanzania: Mhe Dkt @MagufuliJP atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mzee Aboud Jumbe, Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar http… - 8 years ago

@mwakifwa: RT @edwardlowassatz: Taifa limepoteza kiongozi hodari aliejitoa kupigania uhuru na maendeleo kwa Tz. Tutamkumbuka mzee wetu Aboud Jumbe,Ala… - 8 years ago

@cw_pedro: @DeoMunishi Matendo yapi? Yale ya kwenye mazishi ya Mzee wetu Aboud Jumbe? - 8 years ago

@Fakihfffa2: Alichokianza aboud jumbe tutakiendeleza.serikali tatu. Mpaka kieleweke inshaAllah - 8 years ago

@damionhinds: Aboud Jumbe, Tanzanian politician, Died at 96 - 8 years ago

@Mwinyimadi: TAAZIA: ABOUD JUMBE MWINYI 1920 - 2016 - 8 years ago

@SamataJr_12: RT @edwardlowassatz: Taifa limepoteza kiongozi hodari aliejitoa kupigania uhuru na maendeleo kwa Tz. Tutamkumbuka mzee wetu Aboud Jumbe,Ala… - 8 years ago

@MzeKifimboCheza: RT @StahmyJunior: Watanzania tusisahau kwamba tuna msiba mzito wa mzee wetu Aboud Jumbe. Mungu ailaze roho yake mahali pema. - 8 years ago

@MzeKifimboCheza: RT @ACTwazalendo: Chama cha @ACTwazalendo kimepokea kwa mshtuko taarifa za kifo cha ndg. Aboud Jumbe, tunawapa pole watanzania wote https:/… - 8 years ago

@Mugaka_N: Aboud Jumbe shujaa aliyeinua taifa amekufa na upweke - 8 years ago

@UgandaDailyEye: TAAZIA: ABOUD JUMBE MWINYI 1920 - 2016 - 8 years ago

@Hakingowi: 2/2:wakisoma dua ya Khitma ya kumuonbea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Aboud Jumbe aliyezikwa juzi nyumbani kwake Migombani - 8 years ago

@Hakingowi: 2/2: ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mwushawal Mwembe Shauri Mjini Unguja - 8 years ago

@Hakingowi: 2/2: Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mwushawal Mwembe Shauri Mjini Unguja - 8 years ago

@PamojaBlog: DK. SHEIN ASHIRIKI KATIKA KHITMA YA MZEE ABOUD JUMBE - 8 years ago

@Tzdailyeye: TAAZIA: ABOUD JUMBE MWINYI 1920 - 2016 - 8 years ago

@PamojaBlog: DK. SHEIN ASHIRIKI KATIKA KHITMA YA MZEE ABOUD JUMBE - 8 years ago

@Sirbasjoe: RT @RaiaMwemaTz: Aboud Jumbe (1920- 2016): Mtoto wa Mkamasini aliyekuwa mwingi wa mengi – Raia Mwema - 8 years ago

@FMilinga: RT @edwardlowassatz: Taifa limepoteza kiongozi hodari aliejitoa kupigania uhuru na maendeleo kwa Tz. Tutamkumbuka mzee wetu Aboud Jumbe,Ala… - 8 years ago

Back to homepage

People that died on the same date as Aboud Jumbe

new server